![Kuza Business Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/1441833968794542080/0XA8k8Fc_x96.jpg)
Kuza Business
@KuzaBusiness
Followers
767
Following
154
Statuses
483
Karibu Tukusaidie Kuanzisha Na Kukuza Biashara Yakoš! Download āKUZA BUSINESSā App Uweze Kurekodi Na Kutunza Taarifa Zako Za Biashara Kama Mauzo Na Matumiziš²
Joined September 2021
Biashara Yako Inakuwa? 1)Kama Haikuwi, Download @kuzabusiness app sasa hivi uanze kukuza biashara yako. 2)Kama Inakuwa, Download @kuzabusiness sasa hivi uweze kupata ripoti za kimkakati zaidi za kukuwezesha kukuza biashara yako kwenda level za kimataifa. #KuzaBusinessYako
0
1
1
RT @SwahiliesPay: Mwezi mpya, mambo mapya; Mwezi huu 1. App yetu ya @KuzaBusiness itakuwa na muonekano mpya na vipengele vipya vya kuongezā¦
0
2
0
Mwezi Mpya Na Mambo Mapya Ya Kukuxa Business Yako š„
Happy to announce weāre updating our @KuzaBusiness mobile with a whole new different experience. From booking to banking and lending all in one app We have working on the new version of Kuza business for the last couple months and today weāre going on beta with few merchants šš¾
0
1
4
RT @Prosper_absalom: Happy to announce weāre updating our @KuzaBusiness mobile with a whole new different experience. From booking to bankā¦
0
17
0
Umeshajiunga kundi la @kuzabusiness ? Kama unatumia @kuzabusiness na umelipia kifurushi chochote, tutumie DM tukuunganishe. Kama haujalipia na unahitaji kuwa kwenye kundi hili la @kuzabusiness lipia sasa hivi kifurushi chochote kwa punguzo la 20% ili uweze kujiunga.
0
1
4
Fursa kama hizi huwa hazijirudii mara mbili. Mfollow/Mtumie DM @gillsaint akupe CODE uweze kupata Discount ya 20% kwenye @kuzabusiness . Biashara Ziendeee! #KuzaBusinessYako
0
0
0
RT @Positivenga1: @moodewji App yetu ya @KuzaBusiness inamsaidia SME kurekodi miamala kidijitali ili atengeneze credit score na kupata mkopā¦
0
23
0
Kama unafanya biashara au unatoa huduma kwa wafanyabiashara, @KuzaBusiness tunaweza kukutengenezea āPartner Discount Codeā yako ambapo wateja wako wakitumia @KuzaBusiness kusimamia biashara zao watapata mpaka 30% discount, na wewe utapata mpaka 20% commission. Karibu Tuyajenge š„
0
1
1
RT @Positivenga1: Kama unafanya biashara na wateja wako ni wafanyabiashara, @KuzaBusiness tunaweza kukutengenezea āPartner Discount Codeā yā¦
0
12
0
Kwa kuanza; Tuambie Ni Mfanyabiashara Gani Ameongoza Kwa Ubunifu Ndani Ya Mwaka 2024? Mtag kwenye comments hapo chini. Endelea Kutumia app ya @kuzabusiness kusimamia na kukuza business yako. #KuzaBusinessYako
0
0
0
Kama @pips_by_rae angeweza kurudi mwaka 2017 akiwa na uzoefu wa biashara aliokuwa nao leo 2024 hiki ndio kitu ambacho angefanya kwa utofauti. Pitia posts zetu za juzi kutazama full video. Endelea kutumia @kuzabusiness kusimamia na kukuza biashara yako. #KuzaBusinessYako
0
3
6
RT @gabyconscious: Whatsapp marketingš Hii kitu wadada wengi wqnafanya biz inawacost, mdada anafanya biashara ila kwa vile ni mrembo anaogā¦
0
2
0
Moja ya kipande cha stori zetu, jana na @pips_by_rae juu ya namna ya kukuza biashara kupitia mitandao na nje ya mitandao. Hapa Mfanyabiashara umejifunza nini? Tembelea instagram ya @KuzaBusiness kutazama full interview. Endelea kutumia app ya @KuzaBusiness kukuza biashara yako
0
7
14
Leo Jumatano ya kuanzia saa 1 kamili usiku kwenye INSTA LIVE Ya @kuzabusiness tutakuwa na @pips_by_rae akitoa madini kuhusu mada yetu tuliyoieleza hapo juu. Mtag mfanyabiashara ambaye hautaki akose tukio hili. Endelea Kutumia @kuzabusiness kusimamia na kukuza biashara yako.
0
0
0