GlobalHabari Profile Banner
Global TV Online

@GlobalHabari

Followers
17K
Following
463
Statuses
66K

No #1 media house for Breaking News, Entertainment News, Celebrity News in Tanzania! Multi-Awarded Digital Media, More Than 25 Years.

Sinza- Dar es Salaam, Tanzania
Joined May 2013
Don't wanna be here? Send us removal request.
@GlobalHabari
Global TV Online
10 months
Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi na ujumbe wake wamewasili asubuhi hii mkoani Katavi kuanza ziara ya mikoa sita nchini. Katika ziara hiyo, Nchimbi anaongozana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makala na wengineo.
Tweet media one
Tweet media two
0
0
2
@GlobalHabari
Global TV Online
10 months
Matukio mbalimbali katika Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya miaka 40 tangu kutokea kifo cha Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Edward Moringe Sokoine. Ibada hiyo ilifanyika nyumbani kwa Hayati Sokoine Monduli Arusha tarehe 12 Aprili, 2024.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
0
0
@GlobalHabari
Global TV Online
10 months
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary Majaliwa wakisalimiana na wajane wa aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Moringe Sokoine, Nekiteto Sokoine (wa pili kushoto) na Napono Sokoine (wa tatu kushoto) walipowasili Monduli
Tweet media one
Tweet media two
0
0
4
@GlobalHabari
Global TV Online
10 months
Meridianbet mabingwa wa hizi kazi wameshusha mzigo mpya kwa wachezaji wa kasino ya mtandaoni, mchezo wa Super Heli unakupa mzigo mpyaa wa Bajaj na Maokoto kibao kama vile Bonasi za Kasino, na Beti za bure kila siku. Jisajili ili ushiriki promosheni
Tweet media one
0
0
0
@GlobalHabari
Global TV Online
10 months
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Bara (CCM), Abdulrahman Kinana akizungumza jambo na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Moses Nnauye (Mb) pamoja na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi na Utawala Bora, George Simbachawene (Mb).
Tweet media one
0
0
2
@GlobalHabari
Global TV Online
10 months
Karibu Kibondo Green Farm, kibondo Green Farm ni wasambazaji wa parachichi aina ya HASS, Parachichi hili limezoeleka kwenda nje ya nchi na hupendwa sana na wateja wetu, kwa sasa tumefika sokoni Dar es Salaam kutoka Kibondo Kigoma.
0
0
3
@GlobalHabari
Global TV Online
10 months
Ligi ya mabingwa barani ulaya inarejea usiku wa leo huku ikienda kushuhudia michezo mikali ikipigwa katika viwanja viwili tofauti huku Meridianbet wakitoa fursa ya kupiga mkwanja kutokana na ODDS KUBWA ambazo wameweka kwenye michezo hii. Kwa wale wa USSD na vitochi pia, *149*10#
Tweet media one
0
0
0
@GlobalHabari
Global TV Online
10 months
Rais Samia akisalimiana na Mufti wa Tanzania Sheikh Mkuu Dkt. Abubakar Zubeir Bin Ally, Mkuu wa Mkoa wa Dar Albert Chalamila, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Walid Omar pamoja na Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuiya ya Wanawake wa Kiislam Tanzania (JUWAKITA) Mama Shamim Khan
Tweet media one
0
0
1
@GlobalHabari
Global TV Online
10 months
Mohamed Dewji 'Mo' aliwaahidi wachezaji kwamba atatoa dola 100,000 sawa na takribani shilingi milioni 250 kwa kila goli ambalo lingefungwa kwenye mchezo kati ya Simba na Al Ahly.
0
0
2
@GlobalHabari
Global TV Online
10 months
Wild Mirage ni kasino mtandaoni ya Meridianbet kutoka kwa mtayarishaji Tom Horn. Mbele yako ni burudani ya kusisimua iliyotiwa chumvi na bonasi za kasino kibao. Kuna mizunguko ya bure, bonasi ya Respin, na vilevile majoka yenye mara mbili. Tembelea
Tweet media one
0
0
0
@GlobalHabari
Global TV Online
10 months
Ligi ya mabingwa barani ulaya inarejea usiku wa leo ambapo itapigwa michezo mikali sana kati ya Real Madrid dhidi ya Man City Huku Arsenal wakimenyana na Bayern Munich michezo yote ikiwa imepewa ODDS BOMBA pale Meridianbet. Kwa wale wa USSD na vitochi pia *149*10# #meridianbettz
Tweet media one
0
0
1
@GlobalHabari
Global TV Online
10 months
Tengeneza mpaka mara 6000 ya dau lako ukicheza sloti ya Bursting Hot 5 ukiwa na Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet. Bofya hapa kuingia mchezoni! #bashirinamabingwa #meridianbettz #kasino #Burstinghot5
Tweet media one
0
0
1
@GlobalHabari
Global TV Online
10 months
Karibu Kibondo Green Farm, kibondo Green Farm ni wasambazaji wa parachichi aina ya HASS, Parachichi hili limezoeleka kwenda nje ya nchi na hupendwa sana na wateja wetu, kwa sasa tumefika sokoni Dar es Salaam kutoka Kibondo Kigoma.
0
0
2
@GlobalHabari
Global TV Online
10 months
Matukio ya Mheshimiwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Bungeni jijini Dodoma Aprili 08, 2024. ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
0
1
@GlobalHabari
Global TV Online
10 months
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, bungeni jijini Dodoma, Aprili 8, 2024
Tweet media one
0
0
0
@GlobalHabari
Global TV Online
10 months
Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda mara baada ya kukabidhiwa ofisi na aliyekuwa mkuu wa mkoa huo John Mongella, amesema kuwa katika nchi hii ya Tanzania yeye ndiye Katibu Muenezi aliyekaa kwa muda mfupi Zaidi katika cheo hicho.
0
0
3
@GlobalHabari
Global TV Online
10 months
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda, amewasili katika ofisi za mkoa huo akiwa katika gari la kitalii. Wananchi na viongozi mbalimbali wamejitokeza kumpokea mkuu wa mkoa huyo mpya. Video kamili inapatikana YouTube ya Global Tv.
0
0
0
@GlobalHabari
Global TV Online
10 months
Karibu Kibondo Green Farm, kibondo Green Farm ni wasambazaji wa parachichi aina ya HASS, Parachichi hili limezoeleka kwenda nje ya nchi na hupendwa sana na wateja wetu, kwa sasa tumefika sokoni Dar es Salaam kutoka Kibondo Kigoma.
0
0
2
@GlobalHabari
Global TV Online
10 months
MSIMU MPYA MAMBO MAPYA! Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Soma Gazeti la Championi kwa urahisi mtandaoni kupitia Global App:
Tweet media one
0
0
1
@GlobalHabari
Global TV Online
10 months
Karibu Kibondo Green Farm, kibondo Green Farm ni wasambazaji wa parachichi aina ya HASS, Parachichi hili limezoeleka kwenda nje ya nchi na hupendwa sana na wateja wetu, kwa sasa tumefika sokoni Dar es Salaam kutoka Kibondo Kigoma.
0
0
1