
Benedict lukanyima
@Benbellah89
Followers
2K
Following
31K
Media
220
Statuses
17K
Mwanaume ni kiumbe pekee ambacho anaweza akatoka nyumbani alfajiri kwa ujasiri kwenda kuangaikia familia mkijua yuko sawa kumbe anaumwa sana na ameficha dawa ili familia isiwe na hofu. Wakuu tuwapende sana baba zetu.🙏🏾
22
93
256
Siachani Nawe - Barakah The Prince🎶 Sawa janja ana kiburi ila hapa aliua sana 🙌
4
4
28
Bashake indi ngangi bita Ngabo ndabona nsa nazo 😂😂😂
10
19
355
Dear Dadaz; Kimsingi wanaume wenye malengo na Uaminifu, wapo wengi sana tatizo hatuna Shekel mifukoni. Wanaume waoaji wapo tatizo nyie mnaingia kwenye mahusiano Kwa masrahi. Dear BOIZ wenye PESA endeleeni kuwatumia DADAZI wenye tamaa mpaka wakome.
7
23
78
Mwaramutse? Nubona iyi tweet wumve ko nkwifurije umunsi mwiza❤️
23
6
56
Ese koko nibyo abagabo nabasore bakunda Nyash cg nikigare?!!😩🥹😁
18
1
38
Unapojisikia umechoka, kumbuka ni kwa sababu umebeba ndoto kubwa. Pumzika, lakini usiache kupambana..🫱🏾🫲🏿
3
25
69
Jana tumeshuhudia kiumbe hatari zaidi kuwahi kutokea kwenye ulimwengu wa soka akicheza mechi yake ya mwisho akiwa uwanja wa nyumbani.
2
4
21
Mnanisaidiaje jamani 🙆♀️watu wa mikopo wananitishia maisha.. wanataka waniue
53
21
155
Najiombea na vilevile nakuombea kwa MUNGU siku moja umiliki mjengo kama huu
13
18
94
Tuliko toka ni mbali maana tunajikubali, Mungu anatusimamia hatuchoki kujipambania.🌹
11
30
54
Dear Dadaz; Wanaume tutaendelea kukataa MIMBA ikiwa nyie wenyewe mna mahusiano na wanaume wengi🚮 Mtazitoa sana Mimba ikiwa hamtakuwa na msimamo/ chaguzi Bora za wanaume mnao date nao. Wanaosema WANAUME wote ni MBWA ni wale ambao walikurupuka kwenye chaguzi. Men Never Cheat🙏
8
34
65
Ukipata mtu anayeweza kukufanya ujisikie kueleweka —mtu unayemwamini; msikivu, anayekufanya uamini unasikika, unaaminika, unathaminika; mtu asiyekulaumu, asiyetafsiri unachomwambia kukidhi matarajio yake, asiyekuhukumu kwa makosa uliyofanya— utajitengenezea kinga ya magonjwa
6
17
44
Albert Einstein alisema - "An empty stomach is not a good POLITICAL adviser" Yani "Tumbo tupu sio mshauri mzuri wa Kisiasa". Gm
16
23
104
Mbeya kuna utajiri wa mahindi, yaani kuku akidonoa mahindi mawili unaishi miaka miwili ya utajiri wa kufa mtu. Aliye tayari 📥.
5
2
22
Akili husahau haraka lakini moyo hukumbuka siku zote.🌹
16
49
87