Baraka Adson Mpenja ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Profile
Baraka Adson Mpenja ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@Baraka__Mpenja

Followers
6K
Following
773
Statuses
1K

Football Commentator @azamtvtz 'Sauti ya Radi' ๐ŸŽค๐Ÿ”ฅ Managing Director @Mpenjatv

Dar es Salaam, Tanzania
Joined June 2023
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Baraka__Mpenja
Baraka Adson Mpenja ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Mungu ni Mwema ๐Ÿ™
@azamtvtz
Azam TV
1 year
Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM) kimemtunuku mtangazaji wa kandanda wa #AzamMedia, Baraka Mpenja โ€˜Sauti ya Radiโ€™ ikiwa ni ithibati ya kutambua na kuthamini mchango wake wa kipekee anaoutoa katika maendeleo na ustawi wa lugha na utamaduni wa Kiswahili duniani. Mpenja ametunukiwa cheti hiko leo kwenye Tamasha la Kimataifa la Utamaduni wa Mswahili na kumbukizi ya Shaaban Robert lililofanyika mkoani Morogoro na kuratibiwa na chuo hiko cha MUM huku wadau wa Kiswahi kutoka ndani na nje ya Tanzania wakiwa ni sehemu ya wahudhuriaji. Neno moja la pongezi kwa Mwamba wa Umalila (Taarifa hii imeandaliwa na Theresia Mwanga na kuhaririwa na @allymuftiTZ ) #BarakaMpenja
Tweet media one
Tweet media two
5
10
122
@Baraka__Mpenja
Baraka Adson Mpenja ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 days
Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania bara.
Tweet media one
2
5
68
@Baraka__Mpenja
Baraka Adson Mpenja ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 days
Mchezaji bora wa mechi kati ya Simba SC na Tanzania Prisons. Shomari Kapombe โญ๏ธ
Tweet media one
10
32
2K
@Baraka__Mpenja
Baraka Adson Mpenja ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
3 days
SIMBA VS TANZANIA PRISONS Commentator Live on Azam Sports1HD ni MWAMBA WA UMALILA, Baraka Mpenja๐Ÿคš๐Ÿคš๐Ÿ”ฅ Lunyasi mpo?, mmefurahi?๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
1
0
6
@Baraka__Mpenja
Baraka Adson Mpenja ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
3 days
Msimamo wa ligi kuu Tanzania bara ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
Tweet media one
1
15
502
@Baraka__Mpenja
Baraka Adson Mpenja ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 days
Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania bara.
Tweet media one
1
2
21
@Baraka__Mpenja
Baraka Adson Mpenja ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
6 days
Orodha ya wafungaji ligi kuu Tanzania bara.
Tweet media one
1
1
56
@Baraka__Mpenja
Baraka Adson Mpenja ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7 days
Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania bara. Timu yako inashika nafasi ya ngapi ?
Tweet media one
0
1
23
@Baraka__Mpenja
Baraka Adson Mpenja ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
8 days
Je, Fountain Gate kumpunguza makali mnyama ama mnyama kurudi kilelenj na kuongoza msimamo? Saa 1:00 usiku AzamFC kuwakaribisha KMC. Kocha Kali Ongala anarudi Azam Complex kucheza dhidi ya waajiri wake wa zamani. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii. #NBCPL
0
0
0
@Baraka__Mpenja
Baraka Adson Mpenja ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
8 days
MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA.
Tweet media one
3
2
35
@Baraka__Mpenja
Baraka Adson Mpenja ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
8 days
FULL TIME
Tweet media one
1
1
50
@Baraka__Mpenja
Baraka Adson Mpenja ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 days
๐Ÿคฃ๐Ÿ”ฅMWAMBA WA UMALILA narejea upande wangu namba moja, leo hakuna Ukatuni wala uchale chale, ni serious business!๐Ÿ‘ Nitakuwepo KMC Complex kutangaza mechi ya ligi kuu NBC kati ya Mabingwa Watetezi YANGA na KENGOLD SC๐Ÿ‘‹๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ Tukutane LIVE AZAM SPORTS1HD Kuanzia saa 10:15 jioni๐Ÿ‘‹
Tweet media one
1
0
19
@Baraka__Mpenja
Baraka Adson Mpenja ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 days
Msimamo wa Clean sheets kwenye ligi kuu ya NBC.
Tweet media one
3
22
980
@Baraka__Mpenja
Baraka Adson Mpenja ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
11 days
Msimamo wa Ligi kuu Tanzania bara.
Tweet media one
5
11
357
@Baraka__Mpenja
Baraka Adson Mpenja ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
11 days
Mchezaji bora wa mechi kati ya Tabora United na Simba SC.
Tweet media one
6
41
1K
@Baraka__Mpenja
Baraka Adson Mpenja ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
13 days
Mchezo huu utaruka mbashara kupitia AzamSports1HD. #NBCPL #Azamtvsport
0
0
0
@Baraka__Mpenja
Baraka Adson Mpenja ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
21 days
RT @tplboard: Ahsanteni sana wadhamini wa Ligi Kuu ๐Ÿ™๐Ÿฝ @NBCTanzania @azamtvtz @TBConlineTZ Tunapaa pamoja ๐Ÿ•Š๏ธ #LigiKuu #LigiKuuToTheWorld #Iโ€ฆ
0
36
0
@Baraka__Mpenja
Baraka Adson Mpenja ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
23 days
Tuzo ya Meneja bora wa uwanja imekwenda kwa Ashraf Omar wa Meja Jenerali Isamuhyo - Dar es Salaam. Pongezi kwake.
Tweet media one
0
0
15