Ayydocter Profile Banner
..neonecho👁️‍🗨️ Profile
..neonecho👁️‍🗨️

@Ayydocter

Followers
994
Following
23K
Media
175
Statuses
22K

Fluent in sarcasm and coffee 💬 while running on dreams and deadlines🇰🇪

Under home arrest
Joined September 2024
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
2 months
Huku Mombasa mlisema koinange ni wapi?.
13
52
120
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
2 months
Nitakula tu kesho sai sitetemeki sana.
1
26
52
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
2 months
Nalike ina unlike kwani Elon anajua kenye mimi napenda?.
0
25
49
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
2 months
Kama opposite ya pro ni con, sasa opposite ya progress ni congress?.
5
24
46
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
2 months
Stima ikipotea kenya mzima kplc huwa wanaenda kuomba wapi ya kuanzia?.
1
25
42
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
2 months
Nani alisema lazima uangalie tissue ukiwipe before ufold?.
2
25
43
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
2 months
Sai kuambia mkalee kuna pombe ya sheree unafaa kua specific, utajipata forest.
1
22
41
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
3 months
Kuna huyu baddie amenitext 'lmao' inamaanisha nini? It's urgent.
4
23
38
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
2 months
Every molestation story is a touching story.
7
26
38
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
2 months
Good morning hardworking people, keep it up!.
5
21
34
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
3 months
Hua mnafanya nini kama supper haiko kwa plan?.
3
16
34
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
2 months
Nani aliambia wakenya Safaricom lazima ikue sim 1?.
0
22
34
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
3 months
Unaenda kununua sumu alafu unangoja change kwani kuna entry fee mbinguni?.
0
19
36
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
11 days
Huko green app unapata tweet yako inazunguka status zote lakini jina hakuna 😅💔.
7
19
35
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
2 months
Shida ya leo ni nini lazima tu niskie njaa?.
2
15
32
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
7 days
Mnatoa wapi madem bana?.
5
14
33
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
3 months
Ule mtu hukaa kukuelewa sana ndio hukubetray. .
0
18
32
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
2 months
Leo nitalala mapema ndio kesho niamke 4am kuwaka na kutafuta ip ya VPN.
2
16
32
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
3 months
Hii option ya kuicrease RAM ya simu hua inawork?.
1
14
30
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
2 months
Sasa hio barua Paul aliandikia Wakorintho pastor anatusomea sisi Wakenya tufanye?.
2
18
33
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
7 days
Hii mwaka iko na a certain type of seriousness juu ata tarehe sijakosea kuandika.
1
17
30
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
2 months
Ata kama post hainasi Kipchoge alisema patispeshen is important.
3
18
31
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
2 months
Kama chokosh havuti fegi tao wewe kwani nairobi ni ya babako?.
2
15
28
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
6 days
Ndio kuraukia choo bana usiwai kula mturaa kwa matanga.
5
16
29
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
3 months
Ningekua handsome sai ningekua na STDs kama mbili.
5
15
28
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
9 days
Mbona umeeka safaricom sim 1?.
3
18
28
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
12 days
Kwani huki tl walimu ni wangapi?.
2
19
28
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
2 months
Me ukinitext "Hae" that is the end ouf our friendship.
0
18
27
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
2 months
Lakini Guardiola hii mambo anafanya sipendi.
1
12
27
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
3 months
Last born ananireverse call kuomba airtime nikituma amareverse kusema asante.
0
17
26
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
13 days
Waah 💀sijawai choka kama kesho.
4
21
27
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
3 months
Sisi wote tunatafuta pesa nikikuambia sina unajam umbwa!!.
0
10
26
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
2 months
Pia nyinyi mko na hangover?.
1
14
26
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
19 days
Huyu amekataa kuja kwa kitanda hua mnaomba aje?.
1
18
27
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
3 months
Matress ni ulimi but uzuri silali chini.
4
12
25
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
2 months
Huyu dem apa kando amenikatia bana sauti pekee nishambao.
0
13
24
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
3 months
Ndio kutokea ma shughuli wa ha nikule hii kona niingie kejani kama nimeshiba.
0
13
21
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
8 days
Unakuja kuka kwangu siku mbili suitcase ni ya nini boss?.
0
11
25
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
3 months
Kama sii hio ngwati nimeangalia singeroll chapo leo.
0
14
22
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
11 days
Hii mwaka umeitwa boo ama hio sauti unaskia tu ukinyamba.
2
14
24
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
2 months
Wazazi wanatumia app lock kuliko ata gen z 💀.
1
17
23
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
3 months
Kama nalala kwa floor asubui ni kuamka ama ni kusimama??.
1
14
21
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
3 months
Unaezaje ambia mtu ati yeye nikama hua ananuka before anyambe 😭😂.
1
16
23
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
1 month
Inaonekana Joseph ndio alikufa virgin kwa hio bibilia.
1
13
22
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
2 months
Nikivuta baking powder inaeza panua akili nikue wise?.
0
16
22
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
3 months
Basically weed smokers ni wengi kuliko walevi hii Kenya.
0
17
20
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
2 months
Pia Must Go ameamka kama amembao kama sisi 😂😂 umbwa yeye.
2
11
20
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
2 months
Mimi niko church wewe uko?.
2
11
22
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
2 months
What is the difference between Marijuana and Pussy?.
2
16
21
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
2 months
"drugs drag you down" amewekewa sumu na bibi yake 😂💀.
0
16
22
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
3 months
Watu wa diploma wanatoka game sai waende kusomea exam ya kesho tuff!💀😂.
0
10
22
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
20 days
Mbona after kukiwasha unaonanga nikama mzazi anakusomanisha?.
2
10
22
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
3 months
Leo nimekua idle kama tattoo artist ako Sudan.
0
14
20
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
3 months
Unanyonga sana mpaka unashikwa na muscle pull.
1
15
21
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
2 months
Mnifollow basi nifike thao alafu kesho muunfollow😭😂 nitafika 1st floor lini?.
2
13
22
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
12 days
Nikilipia tick alafu niwatume pinned mtanisupport?.
1
12
22
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
8 days
Uko na mwanya smart nisaidie nitumie kama chalice. .
2
12
21
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
9 days
Unaangalia rooftop kitu inablink unadhani ni booster kumbe ni mimi nawaka.
1
10
21
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
28 days
After KCSE kutolewa si watakua 18+ by default ama hua inawork aje?.
2
11
21
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
2 months
Nitamaliza mwaka bila firstborn na ata mama yake sijapata nani anaweza nipea mtoto?.
1
12
19
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
6 days
Zimeshika napumua kubwa kubwa roho iko kwa abdomen.
0
14
21
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
3 months
Gossip ya men ni kuambia morio akae rada lakini ya ladies ni ya kuchukiana.
0
13
19
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
1 month
@MRight_KE Wagwan G.
0
0
19
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
3 months
Hii kutu ya 6 years itanimaliza nani anajua sperm bank niende kusaidia huko?.
0
15
17
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
2 months
leo boss amezima AC akidhani one of our customers anaskia baridi kumbe ni stammerer 😂😂.
0
14
20
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
11 days
14th ukiulizwa wapi maua sema iko Meru.
4
9
20
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
2 months
Huku ushagoo unatuma mtu duka anaenda yenye iko 10km away ndio arudi kusema haikua kwa yenye ulimtuma nkts!.
1
11
19
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
2 months
Nani ako mombasa tukutane kesho ?.
0
9
20
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
2 months
Leo nimefanya kazi mingi kuliko VCT za Nyanza.
1
11
19
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
2 months
Mama yako anachukia wavutaji bangi lakini anakupenda wewe na roho yake yote.
0
14
19
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
15 days
Kumbavu zangu kumbe vpn si shoetform ya vaping.
0
11
20
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
19 days
I'm not sitting alone I have music.
1
10
20
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
12 days
Unajua nini kuhusu watu wa Facebook?.
0
9
20
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
3 months
Nimefika ushagoo leo napata pastor alifutwa kazi juu alisema ameenda kubuy divai kwa liquor store.
0
7
20
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
3 months
Kuna picha nimeona hapa Tl wa dogi ikilamba sijui diek some people are disgusting.
0
10
18
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
23 days
Kungoja mtu wa iPhone akutumie picha zako nikama kungoja eafrica itoke commercial break.
1
14
19
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
3 months
I have no pleasure saying this but manzi yako ako mahali anakulwa sai 💀.
2
12
18
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
3 months
Mko aje leo?.
3
16
19
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
25 days
Si Kenya inakuanga west Africa ama mwalimu wa kiswahili alinidanganya?.
1
8
19
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
19 days
Ndio maid anapiga leo kuniambia ako na ball since last year 😭💀.
1
16
19
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
3 months
Tangu cheltilet ianze sijakanyaga nyumbani siku nne sai.
1
10
17
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
21 days
Tl yangu pekeake ndio iko slow leo?.
1
11
19
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
2 months
Lakini hizo hours zote uko nazo kwa wrapped kwani wewe ni dereva wa matatu?.
0
11
18
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
3 months
Nimepewa dawa na dokii amasema nisikule animal products unaweza nipea number ya dem yako?.
0
9
18
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
2 months
Nawasha ngwai nikikohoa juu mapenzi ni kikohozi.
2
9
18
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
3 months
Waaah si nimewamiss. anyway mtu anibuyie supper.
0
11
17
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
3 months
Mara ya mwisho nikikua na dem ile ngoma ya derulo ya shimishimi yee shimiyoo ndio ilikua inahit 😔.
0
9
16
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
2 months
Pale gram sai ndio watu wanahype vile wataattend hio grammy hahaa jokes on them Mtukufu. lied.
0
7
17
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
13 days
Ile motion hua unafanya after umeweka sabuni kwa mkono ya chyuup!!!🫴🏽 Hukua underrated skill pia.
0
12
18
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
20 days
Saizi ukitegea mbogi ikuchanue utashtuka sana.
3
13
17
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
13 days
Hakuna kitu mzuri kama kulipa na till kwa pedi.
1
11
18
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
3 months
Good morning everybody.
5
10
16
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
2 months
Good morning Twitter Family.
2
10
18
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
2 months
Kuna dem hapa mall anaulizwa kama atakua father Christmas 😭😂😂.
0
11
16
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
21 days
Past tense ya ku undo ni?.
1
12
17
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
2 months
Good morning good people 🌞. Kama haikuweza jana leo itaweza 🤝🏽.
0
13
17
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
3 months
Kama uliwatch papa shirandula kama naliaka alikua primary unafaa kua na watoto sai.
0
10
17
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
9 days
Ningetoka faceless muone hizi rasta lakini mtasema Marley amefufuka 💀.
1
7
17
@Ayydocter
..neonecho👁️‍🗨️
3 months
I hope hua hampigi screenshot post zangu ndio ile siku nitaingia nyasi ni once.
2
7
15