![Adellah Tillya Profile](https://pbs.twimg.com/profile_images/487836274766934016/EW3dA0XF_x96.jpeg)
Adellah Tillya
@AdellaTillya
Followers
22K
Following
20K
Statuses
15K
13:02:2021 4yrs MAMAππππ ni Kama Jana tu Bila Sauti yako Bila Sura yako Bila Busara zako Bila Upendo wako! Mama Kweli Umeenda Kweli Umelala Usingizi wa Milele Maisha hayako sawa na Kamwe hayawezi kuwa Sawa Bila Wewe MAMA yangu Rafiki yangu Adellah wako Bado anakuliliaa πππ
1
0
3
Kuna namna lazima Ubadilike Ili Ufae na huwezi Kubadilika kama hujakutana na Wewe, Kwenye FARAGHA Unatengeneza Hatima yako. #DREAM CENTRAL π @KKKT_KIJITO
1
0
2
βFARAGHAβ PRIVATE QUALITY TIME (PQT) Mathayo Mt 17:1-8 : Ukitaka Usiwe Mtu wa Kawaida katika Taaluma yako Unahitaji FARAGHA. β¦@KKKT_KIJITOβ©
0
0
0