parodykenyan Profile Banner
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪 Profile
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪

@parodykenyan

Followers
3K
Following
64K
Media
532
Statuses
49K

God did it💯💯 Jabanese Man United forever🔴🔴Memelord👑 Kijana ya MMUST👌I EAT & DRINK CONTENT🥳 Surviving is winning Franklin everything else is bullshít

Joined July 2024
Don't wanna be here? Send us removal request.
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
1 month
Unapigwa munju na dem mjaka anakuachia Omena kwa mdomo😂😬.
16
67
153
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
3 months
@Goddie_Ke My tribe never fails🙌🙌😅proudly made in Ameruca.
19
55
319
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
2 months
Nani alisema lazima mtu akiingia kwa choo a squat mbona husisimame🤔.
17
82
165
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
2 months
Either nishike chrome ya 250 ama ninunue unga na mboga ,weeh decisions😅.
7
45
91
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
2 months
Ngotha za MEN nazo ukikimbia kidogo inapanda kwa kifua😅.
8
38
77
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
1 month
Ushago is saving us from a lot of expenses badala ya lounge tunaingia kwa mahindi 😊.
7
41
77
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
30 days
Nakumbuka krisi nikilazimisha mbuzi kula pilau natokwa na wazimu🥱😪.
3
35
77
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
21 days
Mwanaume akikunywa p2 kunaweza happen aje 🤒, ni urgent 😑.
12
32
74
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
2 months
Nimekuja kugundua kukuwa wazimu si ngumu🤔.
5
36
72
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
19 days
Unashanga mbona haukukuwa mwalimu kumbe ni nyota yako ilikuwa chalkman wa pool 😅.
5
28
67
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
1 month
Choo za ushago unasleki kidogo unashtukia nyoka inakulamba haga😂.
9
38
65
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
2 months
Man U ikipigwa leo mniite kondoo ya black😅😅.
10
28
63
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
2 months
Helb ikiingia naskianga kubrush meno na soda ya Krest😅.
4
33
59
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
28 days
Mtu anipee hata kama ni mama yake buana nitoke soko🤒😅.
3
31
63
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
1 month
Mnatoa wapi sugar mummie guys nimefinyia mama wa hoteli jicho akanipoint na mwiko🤒.
2
30
59
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
2 months
Kuuza shamba ya mzae na kwenda old trafford kuwatch game ya Man U live is still on my bucket list 😅.
5
33
58
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
3 months
Mimi siezipea Matiang'i kura za president ju alifanya nikaanguka mtihani saa hii ningekuwa India nikisomea Gaenaecologist🤔.
4
22
52
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
3 months
Mtu anakwambia nifollow back na hajakufollow front😅.
5
27
56
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
2 months
Unavaa kiatu ya 7k unakataliwa na dem amevaa crocs za soo😅.
3
28
55
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
1 month
Mimi ukinipiga surprise visit jipange kulala njaa juu haukusema niongeze maji ya ugali 🤒.
4
34
56
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
23 days
Hawa watu mlijoin twitter 2009 who are you guys . .
5
28
56
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
1 month
Msichana kukudunga kisu mara 27 is a form of dust for simps mimi ata nimwangalie nione mood yake ni mbaya najam😅.
1
30
55
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
2 months
Tafuta mtu hata viatu ukuwa mbili 🤒🥱.
4
30
52
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
21 days
Mbona High school za wasichana hawangepewa ndizi full lazima ingekatwa mara mbili??🤔.
4
28
54
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
23 days
@iamjuddah Mzee anadhani ni mchezo saa hio hajui kijana anataka title deeds😅.
2
0
54
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
1 month
Mimi kama sio hii exam ya January ningerudi sober next year Monday 29th January nikienda kibandaski🤒.
2
15
53
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
1 month
Wakisii na nyinyi hii maneno ya kuongea kama kinyozi ya kunyoa fudhe muache bana🤒.
2
23
52
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
2 months
Na hao watu mnaquote post zetu zinapata engagement mingi kutuliko tusizoeane 😥😅.
1
31
51
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
2 months
Huku ocha unaset alarm ya 6 mchana ndio ukaingishe kuku husisahau 😅.
2
27
51
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
2 months
Dj Afro was a legend during our days bana he spiced our childhood 😅.
8
29
51
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
2 months
Kuna ngotha tulikuwa tunavalishwa tukiwa watoto zilikuwa zinaitwa cowboy zilikuwa zinashika mjulus kaa thong bana😅😅.
7
28
48
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
1 month
Na watu pikipiki mkiona mtu na bag si kumaanisha anatravel 😅.
3
29
48
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
2 months
Unamuita babe anaitika kumbe alipewa baby na ex wake😅.
4
27
49
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
2 months
Sheree za waluhya unafaa ubebe mtungi ju busaa is never limited😅.
2
31
48
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
1 month
Hii December nayo imekuwa fupi kama maombi ya food😅.
2
33
50
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
1 month
Hakuna kitu hukuwa fiti kama kuitwa "weeh mbwa" na maboiz 😅.
2
25
50
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
1 month
Watu wa ushago continue chosing watu wa Nairobi over us and do it ata after wamerudi Nairobi 🤔🤔.
0
30
49
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
21 days
Unapea neighbor gas anapika githeri nayo🤒.
6
22
49
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
23 days
Watu tumekubali wasitafute bibi ni wale wakona nyumba zinanyesha pekee ju hawawezi nyeshewa mara mbili 🤗😸.
0
23
49
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
1 month
Akiona ni mzee kukuliko anasema "age is just a number"😅.
5
32
48
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
13 days
Msichana unaangalia hairline upeleke wapi😅, wewe ni kinyozi 🤒.
3
21
49
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
2 months
Msichana a spot sukuma kwa meno ukiwa unamkatia huwa inarudisha gangsta point zero bana😅😂.
4
28
46
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
3 months
Call me sura mbaya roho safi a.k.a the blackest man in black Africa.
6
26
43
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
2 months
Hii furahiday nikienda Sana ni soda ya stoney😅.
6
30
43
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
1 month
Nikiwa kwa bar nakwambia nishai jaribu ile trash ya ukigongwa kofi side moja unapatiana ingine 🤒,nikang'olewa meno😂.
3
15
47
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
1 month
Nilipeleka manzi yako out akatoboa tea bag akamwaga kwa chai🤔😂.
5
22
46
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
2 months
Nikiambia gal fred wangu hey aniambie hey 2 badala ya hey 3 tunaachana 🥱.
4
23
45
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
3 months
Mimi si nabii lakini najua yule dem ya Kairo hajapost Kairo leo😅.
4
31
47
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
1 month
Usinichukie juu ya sura hio ni biashara ya wazazi 😂na iliuma nje ajabu 😏.
0
26
46
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
28 days
Mnasemanga warwanda mnakosea mmeona wajaka wa Homabay kweli🤔.
3
22
44
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
21 days
Mimi nikipata jamaa wangu wa formation kama hasomi nampiga kofi mbaya Sana, I can't risk failing 🙂.
2
31
46
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
2 months
Neiba amekuja kwangu na leso imeandikwa "nikikupea utawezana"🤒advice me guys😋.
0
25
44
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
27 days
Can someone tell these people nikona trouser nne za black🤔😂😎.
5
24
42
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
1 month
Unakata maji ya 20K dec unakula mandazi maji January😂, inaitwa transition.
3
26
42
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
1 month
Tafuta dem mzee hii maneno ya kukaa pekee yako kama singular hatutaki 🤒.
2
22
42
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
1 month
From kulipua mbaruti to kulipuka akili ju ya kusomea mtihani 🥺.
0
24
42
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
2 months
Masaa ni ya kuscreenshot zile vitu najua siezi afford 😅.
3
23
42
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
3 months
Niko single coz when i approach b!tches naskianga "wewe hauwezikosa mtu"😥.
6
15
39
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
1 month
Na mbona pombe huwa inapanda kwa kichwa na ukimeza inashukanga kwa tumbo🤔.
3
27
42
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
2 months
Ama hii ya kwenda kwa pendi ndio mnaita pendicure🤔🤔.
5
23
40
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
3 months
Tangu nijielewe simping feels like kuchimba choo😅🚮.
1
23
40
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
18 days
Naogopanga kuwapostia memes za English mkose kuelewa niwaste content bure 😅.
3
15
43
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
2 months
Kamiti prison nayo ukienda kuokota sabuni ukiwa newcomer unaeza Diddywa vibaya sana😅.
3
20
40
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
2 months
Kama uko karibu na dem akona nyash mwambie apewe soda kwa bill yangu☺️.
2
23
41
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
2 months
Mtu anakunyima hug na alijipata nayo 🤒🥱.
4
27
41
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
2 months
Choose one die in a capsized ship or plane crash.
2
22
40
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
1 month
Kula hio elfu mbili iko KCB mpesa haiwezi nunua Audi 😂.
1
13
41
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
2 months
Ulinyimwa na dem na muhindi pia amekataa umkule kwani hamjui we are from poor backgrounds 😅.
2
22
39
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
2 months
Ukiingia ushago na suti Kama ile ya Kasmuel unapewa bibi free na unachangiwa pesa ya kuanza maisha.
1
27
41
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
2 months
Koinange naendanga na Arv kwa mfuko siwezitaka hio mchezo😅.
5
30
41
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
4 months
Ladies marry mtu hana pesa ndio mtafute pesa pamoja msinyang'anywe gari kama dame ya the Pluto😅😅.
1
19
38
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
3 months
Can you have s3x in your parents' matrimonial bed.
4
21
39
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
1 month
Ukipata short cut wewe tumia Interpol watakupata mbele mbele 🚮.
2
24
39
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
1 month
Being a stupid man is asking a girl about another girl.
4
23
40
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
1 month
Y'all overate using tissue paper in the toilet & yet hamjajaribu maize cob 🤔.
2
21
39
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
1 month
1
0
40
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
1 month
Unapanda kwa mti ya afkado kusaka neti akikupigia kumbe ni break up message ako nayo😥.
2
23
39
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
29 days
Never judge Manchester United with it's cover sisi ni wabaya kimoyomoyo🙌😂.
7
22
39
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
2 months
Msichana anakuringia last year unapatana na yeye this year akiwa amefura miguu na tumbo unasukuru Mungu hakukubali 😅.
6
27
40
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
1 month
December ata kama wewe ni pastor kunywa mvinyo tutaokoka January 🤒😊.
1
21
38
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
2 months
Nachukianga hawa madem wa ati ooh ukinipigia unipate you must be a very important person😅.
2
16
37
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
2 months
Unaezasave ifike elfu moja ukufe😅.
5
23
37
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
2 months
Asiyefunzwa na mamake lazima ni yatima🤔hii maneno ya ulimwengu achia wahenga😅.
2
25
38
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
2 months
Simping or gayism??.
20
25
38
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
2 months
Mimi ushangaa Sana nikiskia mtu amerape bibi yake like how does it happen🤒.
0
26
38
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
3 months
Bibi yangu kutoka murima ameweka omena za thate thufu jug mbili😅😅.
0
18
35
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
1 month
Hakuna kitu huwa inauma kama kuambiwa pesa yako ni fake 🤔.
2
24
37
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
27 days
1
0
38
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
1 month
99% of people who wear earphones make there own lyrics 😂ju anajua hamsikii kitu anaskiza😂.
2
25
38
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
2 months
Nashangaa nguo zinataka nizioshe saa hio ata mimi sijajiosha😅.
2
23
37
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
1 month
Sasa krisi naona kama nitakula mukombero na maji ya maharagwe ju huku campus kama ni chapo tumezoea 😅.
1
23
39
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
2 months
Endelea kuambia watu watokwe na vitu tu, ile siku zitakuingia ndio utajua haujui.
1
20
38
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
3 months
Nishaanza account ya Telegram ya KCSE leaks , block lazima tutolewe na backbenchers😅😅.
4
20
36
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
3 months
Hakunanga feeling demure kama mtu kukubeba ufala ukijua😇😇.
1
26
38
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
2 months
Zawadi kubwa msichana anaeza nunulia mwanaume ni saa ndio akuwe na time yake😅.
3
24
39
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
1 month
Wajaka na wao kiswahili wanaiongeanga kama nyuki iko maternity 😂.
1
19
37
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
2 months
Yaani mpaka cousin amenikataa kwani how bad is the damage guys🤭🤒.
6
23
36
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
3 months
Rigathi Gachagua na yeye kusamehea Ruto labda mbinguni.
3
19
38
@parodykenyan
Kolo_Merian²⁵⁴🇰🇪
29 days
If you want to hate a song use it as your early morning alarm ringtone.
5
21
39